KAA TAYARI KUMPOKEA KIJANA SIR BLOOD NA VIDEO YA SINA RAHA 3:40 PM Moja ya chupa ambayo itamtambulisha kijana Sadam Rashid aka Sir Blood itakayojulikana kwa jina SINA RAHA. Isubiri uone ujio wake katika G...
Katema Tz akiwa na Sparks wakifanya yao 3:34 PM Sparks Mkali wa ragger kutoka nchini Uganda akiwa na Katema Tz katika fukwe ya bahari ya hindi wakiwa katika upigaji wa picha za Video ya...
KATEMA Tz AKIWA KATIKA POZI NJE YA TAKE 2 PRODUCTION 3:02 PM Amebatizwa kama Saimon Katema ila kwa ukali wake wanamuita Katema Tz. Ni mkali wa midundo kwa wale aliowafanyia kazi wanamjua,pia anaijua...
KUMEKUCHA........... 2:52 PM Hapa ni pande za mbali mkoani ambako Katema Tz amejikita katika kusababisha kila kitu kinakua sawa. Kama umuonavyo mkononi akiwa na Kamera ...
VIDEO YA MTANGA YAKAMILIKA NA KUWATOA WASANII KIBAO 8:23 PM Baadhi ya wasanii walioshiriki katika upigaji picha za Video ya nyimbo ya msanii mchekeshaji maarufu kama Mtanga. Take 2 productio...
Gigson aka GIG 8:57 AM Take 2 Production inamleta kwenu mkali wa miduara aliofanya kweli kwenye nyimbo kali inayojulikana kama Wacha waseme ambayo itafanyiwa Vi...
BIB BOSS BENDERA MKURUGENZI WA TAKE 2 PRODUCTION 8:44 AM Sio tu Take 2 Production bali kuna mengi yanatarajiwa. Kwa sasa Big Boss anasimamia Beki Security Guard, Take 2 Production na inatarajiwa...
Gigson aka GIG akiwa na The profesional Soudy kassim wa Take 2 Production 8:29 AM Kitaani wakijadili kitu fulani.Ni The professional Soudy Kassim akiwa na Mkali GIG anaechipukia kwenye mduara akitegemewa kufanya makubwa...
MASANJA NDANI YA IRINGA 11:04 PM Haikutegemewa na mtu yoyo alichofanya Masanja siku ya uzinduzi wa Albam yake ya Gospel. Masanja aliingia na staili hiyo hapo na baadae a...
MASANJA NDANI YA IRINGA 11:01 PM Hiki ndicho alichokifanya Mchungaji Mtarajiwa ndani ya Iringa katika uzinduzi wa Albamu yake ya Gospel. Kiukweli mwana alipiga bonge la ...
ALBAM YA VIDEO YA GOSPEL YA MASANYA YAKAMILIKA 8:39 PM Emanuel Mgaya ni mmoja kati ya wadau wa karibu wa Take Two Production. Huyu mshikaji aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuamua kumrud...
HATIMAYE SINEMA YA SIYAWEZI YAKAMILIKA 8:00 PM Take two production imekamilisha sinema yake ya SIYAWEZI iliokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa sana. SIYAWEZI ni sinema iliochezwa na st...
ILIKUA NI SIKU MBAYA SANA KWA HUYU KIJANA 9:16 PM ZOGO HILI LILIKUTWA NA MPIGA PICHA WETU NA HAKUONA SABABU YA KUACHA KUJUA CHOCHOTE KILICHOMTOKEA KIJANA MTANASHATI ALIEJIZIBA USO. AKIONG...
HAJI ADAM aka BABA HAJI MZEE WA HISIA 10:11 PM Huyu jamaa ni tofauti sana na muonekano wa alivyo. Unaweza ukasema ni mtu wa majivuno au wa kuringa pia hata wa kujidadai ila sivyo alivy...
MAMA NJAIDI Mc WA UKWELI NA MKALI WA FILAMU 10:04 PM Kma ulikua hujui habari ndiyo hii. Hidaya Njaidi jina la Nyumbani kwao ila anatumia majina mengi kulingana na sehemu anayoigiza. Pia ni Mc m...
RIYAMA ALLY MKONGWE MSTAARABU 9:57 PM Huyu nae anategemea kufanya kweli katika bonge la Filamu ya kihistoria itakayo kuja kwa jina la SIYAWEZI ambayo imeandaliwa na Take 2 Pr...
KIFO CHA KANUMBA CHAMUUMIZA NELLY 9:51 PM Kufuatia kifo cha Kanumba kilichotokea hivi karibuni, bado Nelly hajarudisha furaha yake kwani alikua na matarajio makubwa ya kufika mbali k...
BADO HALIJAJULIKANA TATIZO LA MTU KULEWA WAKATI WA KAZI 9:44 PM Ni saa 6 mchana maeneo ya Tabata mpiga picha wetu alipokutana na kituko hiki. Haikujulika ni pombe ya aina gani imemudu kumpoteza fahamu huy...
Harakati za kumaliza video ya mwisho ya Gospel ya Mshkaji/Masanja. 9:33 PM Tukiwa location katika kuhangaikia kupata moja ya clip itakayo kamilisha nyimbo ya mwisho katika Albam ya Mwana MCHUNGAJI MTARAJIWA.