VIDEO YA MTANGA YAKAMILIKA NA KUWATOA WASANII KIBAO
Baadhi ya wasanii walioshiriki katika upigaji picha za Video ya nyimbo ya msanii mchekeshaji maarufu kama Mtanga. Take 2 production chini ya Director Soudy Kasim aka the Professional akishirikiana vema na Producer Sam ama Katema. Video imeshakamilika na wakati wowote kuanzia sasa itakua ikionekana kwenye TV zote za hapa bongo. Tukae mkao wa kula tukiisubiri.
Leave a Comment