RIYAMA ALLY MKONGWE MSTAARABU

Huyu nae anategemea kufanya kweli katika bonge la Filamu ya kihistoria itakayo kuja kwa jina la SIYAWEZI ambayo imeandaliwa na Take 2 Production iliyoweka ofisi zake maeneo ya Tabata Muslim.

No comments

Powered by Blogger.