KIFO CHA KANUMBA CHAMUUMIZA NELLY

Kufuatia kifo cha Kanumba kilichotokea hivi karibuni, bado Nelly hajarudisha furaha yake kwani alikua na matarajio makubwa ya kufika mbali kupitia Msanii huyo ambae kwa sasa ni marehemu. Nelly alisema haya alipoongea na Take 2 Production akiwa maeneo ya nyumbani kwake Tabata. Nelly pia ni msanii mmoja alioshiriki vema kwenye Filamu ya SIYAWEZI inayo tegemewa kutoka hivi karibuni chini ya Take 2 Production.

No comments

Powered by Blogger.