HAJI ADAM aka BABA HAJI MZEE WA HISIA

Huyu jamaa ni tofauti sana na muonekano wa alivyo. Unaweza ukasema ni mtu wa majivuno au wa kuringa pia hata wa kujidadai ila sivyo alivyo. Huyu jamaa yuko kawaida sana ila hakuchoshi kumuangalia katika kazi alizofanya. Huwa anafanya kama alivyovikwa uhusika katika kazi zake za kuigiza. Kaa tayari kumuona katika Filamu ya SIYAWEZI na utakubali kwa niyosema.

No comments

Powered by Blogger.