BADO HALIJAJULIKANA TATIZO LA MTU KULEWA WAKATI WA KAZI

Ni saa 6 mchana maeneo ya Tabata mpiga picha wetu alipokutana na kituko hiki. Haikujulika ni pombe ya aina gani imemudu kumpoteza fahamu huyu jamaa ila inawezekana ikawa ni pombe za kienyeji kutokana na muonekano wa muhusika mwenyewe. Ilimchukua takribani masaa mawili kulala hadi kuamka hapa kando ya barabara ulio nyuma ya Petrostation ya Oil Com Muslim.

No comments

Powered by Blogger.