MAMA NJAIDI Mc WA UKWELI NA MKALI WA FILAMU

Kma ulikua hujui habari ndiyo hii. Hidaya Njaidi jina la Nyumbani kwao ila anatumia majina mengi kulingana na sehemu anayoigiza. Pia ni Mc mkali wa shughuli mbali mbali. Lakini pamoja na hayo pia nae kashiriki vema na kuitendea haki Filamu ya SIYAWEZI akiwa kama mama wa Riyama. Isubiri iko mbioni kuipata nakala hiyo hivi karibuni.

No comments

Powered by Blogger.