MASANJA NDANI YA IRINGA

Haikutegemewa na mtu yoyo alichofanya Masanja siku ya uzinduzi wa Albam yake ya Gospel. Masanja aliingia na staili hiyo hapo na baadae alipiga bonge la shoo ambayo hakuna alietarajia. Mikoa mingine mkae tayari kupokea uponyaji kutoka kwa mtarajiwa Mchungaji.

No comments

Powered by Blogger.