KATEMA Tz AKIWA KATIKA POZI NJE YA TAKE 2 PRODUCTION

Amebatizwa kama Saimon Katema ila kwa ukali wake wanamuita Katema Tz. Ni mkali wa midundo kwa wale aliowafanyia kazi wanamjua,pia anaijua vema Camera katika upande wa Video. Bwana mdogo anapatikana Take 2 Production pale maeneo ya Tabata Muslim. Kwa sasa amepania kuwatoa vijana kupitia HIT'S MUSIC Studi ya Audio ikiwa ni ndani ya Take 2 Production. Subiri uone nini Atakifanya Katema Tz.

No comments

Powered by Blogger.