BIB BOSS BENDERA MKURUGENZI WA TAKE 2 PRODUCTION

Sio tu Take 2 Production bali kuna mengi yanatarajiwa. Kwa sasa Big Boss anasimamia Beki Security Guard, Take 2 Production na inatarajiwa kuepo na Studi ya Audio Production itakayokua ikizalisha Ngoma kali chini ya Producer Sam. Take 2 Production inahusika na kutengeneza Video na kutaanza kutengenezwa Audio sio muda mrefu baada ya kukamilika kwa Studi hiyo ambayo utaifahamu jina itakalo kuja nalo.

No comments

Powered by Blogger.