Gigson aka GIG
Take 2 Production inamleta kwenu mkali wa miduara aliofanya kweli kwenye nyimbo kali inayojulikana kama Wacha waseme ambayo itafanyiwa Video mapema kabla ya mwezi kuisha. Kwa sasa maandalizi yamekamilika pamoja na kufanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuhakikisha kinakua kile kilichotarajiwa na mashabiki wakae sawa kwa Video ya ukweli ambayo itaonyesha nini maana ya Mduara.
Leave a Comment