HATIMAYE SINEMA YA SIYAWEZI YAKAMILIKA
Take two production imekamilisha sinema yake ya SIYAWEZI iliokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa sana. SIYAWEZI ni sinema iliochezwa na star wengi na kuweka historia kati ya sinema iliochukua muda mrefu katika uwandaaji kuliko sinema nyingine. Sinema hii imechukua takribani miaka sita tangu kuanza mpaka kukamilika kwake. SIYAWEZI itaingia mtaani siku chache baada ya kukamilika makubaliano na msambazaji wa sinema hiyo. Wapenzi wa Filamu za kitanzania kaeni mkao wa kula kuipokea. TUNAOMBA KUIUNGA MKONO TAKE TWO PRODUCTION. Kampuni mpya na Sinema mpya.
Leave a Comment