ALBAM YA VIDEO YA GOSPEL YA MASANYA YAKAMILIKA
Emanuel Mgaya ni mmoja kati ya wadau wa karibu wa Take Two Production. Huyu mshikaji aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuamua kumrudia Mungu. Kwa sasa anafahamika kama mchungaji mtarajiwa. Alishatoa Albam ya Audio yenye nyimbo takriban 10 lakini akaona ni vema atengeneze na Albam ya Video ambayo nayo inatarajiwa kuingia sokoni muda wowote. Ni vema tukimuunga mkono kwa kizuri alicho kifanya ikiwa ni pamoja na kununua kazi yake.
Leave a Comment