HAJI ADAM aka BABA HAJI MZEE WA HISIA 10:11 PM Huyu jamaa ni tofauti sana na muonekano wa alivyo. Unaweza ukasema ni mtu wa majivuno au wa kuringa pia hata wa kujidadai ila sivyo alivy...
MAMA NJAIDI Mc WA UKWELI NA MKALI WA FILAMU 10:04 PM Kma ulikua hujui habari ndiyo hii. Hidaya Njaidi jina la Nyumbani kwao ila anatumia majina mengi kulingana na sehemu anayoigiza. Pia ni Mc m...
RIYAMA ALLY MKONGWE MSTAARABU 9:57 PM Huyu nae anategemea kufanya kweli katika bonge la Filamu ya kihistoria itakayo kuja kwa jina la SIYAWEZI ambayo imeandaliwa na Take 2 Pr...
KIFO CHA KANUMBA CHAMUUMIZA NELLY 9:51 PM Kufuatia kifo cha Kanumba kilichotokea hivi karibuni, bado Nelly hajarudisha furaha yake kwani alikua na matarajio makubwa ya kufika mbali k...
BADO HALIJAJULIKANA TATIZO LA MTU KULEWA WAKATI WA KAZI 9:44 PM Ni saa 6 mchana maeneo ya Tabata mpiga picha wetu alipokutana na kituko hiki. Haikujulika ni pombe ya aina gani imemudu kumpoteza fahamu huy...
Harakati za kumaliza video ya mwisho ya Gospel ya Mshkaji/Masanja. 9:33 PM Tukiwa location katika kuhangaikia kupata moja ya clip itakayo kamilisha nyimbo ya mwisho katika Albam ya Mwana MCHUNGAJI MTARAJIWA.